TAKWIMU ZINAONESHA WAVULAMA WANALAWITIWA KULIKO WASICHANA
Posted on
Nov 12, 2012
|
No Comments
Dhulma za kimapenzi miongoni mwa watoto imekuwa sababu kuu ya wanaume
kubadilika kuwa mashoga. Takwimu zikionyesha kuwa watoto wadogo wakiume
wanalawitiwa zaidi kuliko wasichana. Lakini ni nini na ni nani wa
kulaumiwa pale watoto wanapodhulumiwa kimapenzi? Mwanahabari saida
swaleh anatujibia maswali