Rais Jakaya Kikwete Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma Leo
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Nape
Nnauye Muda mfupi baada ya Rais Jakaya Kikwete Kuwasili Mkoani Dodoma
leo tayari kuongoza vikao na mkutano mkuu wa nane wa CCM