TBL YAIBUKA KINARA WA ULIPAJI KODI TANZANIA.
Posted on
Nov 11, 2012
|
No Comments
Makamu
wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo
ya mlipakodi bora wa kwanza katika sekta ya uzalishaji viwandani,
Mkurugenzi Mawasiliano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Steven Kilindo kwenye hafla ya sita ya Siku ya Mlipa Kodi, Dar es
Salaam.
Waziri
wa Fedha, Dk.William Mngimwa (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa
Mawasiliano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo, cheti cha kutambua ushindi
huo.
Steve Kilindo akiondoka jukwaa kuu akiwa na tuzo za kampuni yake.
Steve Kilindo akiwa pamoja na wadau wenzie.
Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dk Bilal na viongozi wengine.