THIS IS "DONT JUDGE ME" BY CHRIS BROWN (BEHIND THE SCENE)..
Posted on
Nov 1, 2012
|
No Comments
Wakati mwingine ni vizuri
kutazama wengine huwa wanafanya nini, chukua time yako kuona hii video
inayoonyesha jinsi video ya wimbo wa ‘don’t judge me’ wa Chris Brown
ilivyokua ikitengenezwa alafu hapo chini yake ndio uangalie video kamili
ya hiyo single ambayo kwa mwezi mmoja kwenye mtandao wa Youtube
imetazamwa na zaidi ya watu milioni 10.