>
POLITICS
>
JOHN MNYIKA ASHINDA RUFAA YA KUPINGA USHINDI WAKE KATIKA JIMBO LA UBUNGO
JOHN MNYIKA ASHINDA RUFAA YA KUPINGA USHINDI WAKE KATIKA JIMBO LA UBUNGO
Posted on
Dec 7, 2012
|
Mbunge
wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika, ameshinda rufaa
ya kupinga ushindi wake wa Ubunge katika jimbo hilo.
Hiyo ni
baada ya aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Hawa
Nghumbi(CCM) aliyekata rufaa dhidi ya matokeo ya ushindi wa Mnyika
kuondoa rufaa yake asubuhi ya leo.
Kesi hiyo ilikuwa ikisikilizwa na jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufani.