MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA SADC JIJINI DAR KATIKA PICHA
Posted on
Dec 9, 2012
|
No Comments
Rais
Jakaya mrisho kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC
katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012.
Rais
Jakaya mrisho kikwete, katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa
nchi za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012.
Rais
Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na Rais
Hifikepunye Pohamba wa Namibia pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz
Salomao. na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao
kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012. (Picha na IKULU).