NAMCHUKIA SANA MUME WANGU!.
Posted on
Dec 6, 2012
|
2
Comments
Jamani nilimpenda sana mume wangu, niliijali familia
yangu,nilijitahidi kufanya majukumu yangu kama mke na mama kwa furaha kwa ajili
ya familia yangu, naheshimu ndoa yangu, niliwachukia watu waliokua walioniletea
umbea kuwa mume wangu hajatulia,maana kila nikimuuliza alinijibu ukisikiliza ya
watu utaharibu nyumba yetu.nikachagua kumuamini mume badala ya watu,mwezi wa
sita tulienda kwao na mume wangu, nikaambiwa na wadogo zake mumeo mezaa watoto
wawili na wanawake wengine na sasa hivi anamwanamke mwingine anamsomesha chuo.
Kwakuwa tulienda kule sababu ya matizo mengine sikupenda kuanzisha ya kwangu nikasubiri tumerudi kwetu nikaamuuliza akajibu nikweli na sikutaka kukwambia kwa sababu ya kulinda uhusiano wetu na familia yetu. Nimeumia sana namuona ndo adui yangu namba moja hapa duniani, niliamua tu kuhama chumba,nikamwambia mimi sitahusiana nae tena ila nyumba sihami maana tumejenga wote na ninawatoto watatu na mchango wangu ni mkubwa sana mpaka leo nakatwa mshahara wangu nilikopa banki kujenga hii nyumba.
Kweli sinampango wa kuhusiana nae kimapenzi tena maana huu mwezi wa sita sasa lakini kila ninapomuona hasira inaongezeka. natamani ahamie kabisa kwa hao wanawake zake nahisi namchukia sana. naomba msaada nifanyeje ili huyu mwanaume ahamie kabisa huko kwa wanawake zake,nibaki kwa amani na machungu yangu na watoto. (hii habari nimeambiwa na rafiki yangu kaniomba ushauri msaidieni jamani afanyeje ameumizwa sana.

msamehe bure kwani hata mungu pia huwa anasamehe ilimradi ameomba msamaha.
ReplyDeleteThese forms of loans allow the salaried class visitors to sign up for fast money support in the period of urgent situation when they has to be facing monetary
ReplyDeleteinsufficiency obstacle uk payday loans the new law
gives the federal trade commission additional capacity to crack recorded
on dealers whether it finds unfair practices.