photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KWANINI ATCL WAHUDUMU WA NDEGE NI WAZUNGU, WACHINA NA WAKOREA??.. CHEKI PICHA HIZO.

KWANINI ATCL WAHUDUMU WA NDEGE NI WAZUNGU, WACHINA NA WAKOREA??.. CHEKI PICHA HIZO.

Posted on Jan 5, 2013 | No Comments


Nimebahatisha juzi kwa mara ya kwanza kupanda ndege za ATCL mhhhh maajabu nliyoyaona;
1. wahudumu ni wachina, korea na wazungu
2. wahudumu wa kiume wana Vitambi hii sio ishu
3. Huduma unapewa moja mfano chakula aina moja huna option, no wine no nini hahah
4. Hakuna hata vijarida vya kusoma wakati wa uchovu au hata manual zinazoonesha vivutio vya ndani mh hhh
Wadau ni mapungufu nimeyaona japo ntazidi kupanda ATCL kuwaunga mkono.
Swali je WATANZANIA hamkuomba kazi au ndo ......

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru