TAARIFA KAMILI KUHUSU KOFFI OLOMIDE KUSAKWA NA POLISI HII HAPA
Posted on
Jan 7, 2013
|
No Comments
Promoters wake nchini Zambia wanasema Koffi ameshaondoka Zambia tayari
lakini polisi wanasema hawana uhakika kama kweli kaondoka.
Kwenye line nyingine baadhi ya vyombo vya habari nchini Zambia vilitangaza taarifa za Koffi kuonekana kumpiga vibao mmoja wa wacheza show wake wa kike wakiwa backstage.
Nyumbani kwao Congo Koffi Olomide mwenye umri wa miaka 58 alipelekwa mahakamani mwaka jana kwa kosa la kumpiga na kumuumiza producer wake Diego Music Lubaki na kuharibu vitu mbalimbali kwenye hoteli ugomvi ulipotokea mwezi August mwaka jana.
Promoters wake nchini Zambia wanasema Koffi ameshaondoka Zambia tayari lakini polisi wanasema hawana uhakika kama kweli kaondoka.