JENGO LA JIJINI DAR PPF TOWER LASHIKA MOTO
Posted on
Feb 3, 2013
|
No Comments
Habari
zilizotufikia hivi punde ni kwamba Jeng ola PPF TOWER lililopo mtaa wa
Ohio jijini Dar es Salaam limepata hitilafu ya umeme na kusababisha moto
mkubwa kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo juu kabisa ya jengo hilo
kutekekea kwa moto. Mpiga picha wetu yupo eneo la tukio, picha na
taarifa kamili zitakujia hapo baadae.