KANISA LANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO ZANZIBAR
Posted on
Feb 18, 2013
|
No Comments
Kanisa moja limechomwa moto Visiwani ZNZ alfajiri ya leo na kwa Mujibu wa Kamishna wa polisi mjini MUSA ALI MUSA ,baadhi ya viti vya kanisa vimeungua na kwamba moto huo uliwahiwa kuzimwa kabla ya kusababisha madhara zaidi.