PADRI WA KANISA KATOLIKI AUWAWA ZANZIBAR.
Posted on
Feb 17, 2013
|
8
Comments
Taarifa iliyoifikia blog ya Jamii Press hivi punde toka visiwani Zanzibari, inatuhabarisha kuwa padri EVERIST MUSHI ( Pichani) wa kanisa katoliki uko zanzibar, amepigwa risasi ya kichwa na watu wasiojulikana na kufariki papo hapo asubuhii wakati akielekea kwenye ibada katika kanisa la MTONI,ZANZIBAR.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud walipotembelea eneo la tukio leo.
Hapa ni katika eneo la tukio la mauaji ya Padri Evarist Mushi.
Gari alilokuwa amepanda Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi
Sababu za kupigwa risasi padri huyo bado hazijajulikana mpaka sasa. Mashuhuda wa tukio hilo walisema kuwa hao waliofanya tukio hiloo walikuwa ni wawili na walikuwa wamepakizana kwenye pikipiki aina ya VESPA wakati padri uyo alikuwa kwenye gari lake ambalo baada ya kutokea kwa tukio hilo liliacha njia na kwenda kugonga nyumba moja iliyokuwa jirani.

Poleni waliofikwa na msiba wa padre Zanzibar. Ninashauri waandishi wa habari kuwa watulivu na kuripoti bila kuwapeleka watu kule munakozania ninyi. Mfano hivi kuna uhusiano gani kati ya kuchomwa kanisa mbagala na kuuwawa kwa padre au ni mbinu za kimarekani za kuwaonea waislamu wasio na hatia kwa kuwahusisha na mambo wasiyoyajuwa|?
ReplyDeletepumbavu waislamu hawaonewi,tatizo ni shule waache waendelee kwenda madrasa, ila kuna tatizo hapa nina wasiwasi na uwezo wa askari wa zanzibar kukamata waarifu, haiwezekani hili ni tukio la pili alafu watuhumiwa wasikamatwe, ipo siku wakristu watalianzisha tu zanzibar, shule zenyewe mnasoma za wakristu
Deletewaisilamu wapumbavu sana nia yao watokomeze ukristu,lakini hiyo haiwezekani hata kwa ncha ya upanga
ReplyDeletedhaa jamani naomba maneno makali kama wapumbafu yasitumike kwa dini ya mwezako..
ReplyDeletelazima waambiwe ni wapumbavu sana tena sana wao ndiyo sababu ya maovu yote lakin ipo siku moja zamu itakuwa yao
ReplyDeleteWAISLAMU NI MASHETANI NA NI CHANZO CHA GHASIA ZOTE ULIMWENGUNI, KUANZIA UGAIDI MPAKA TAKATAKA ZOTE. HAMNA CHA MAREKANI WALA NINI WAISLAMU WANALIANZINSHA WAKIZANI WAKRISTO NI WAJINGA MATOKEO YAKE WATAKUJA PIGWA NA ULIMWENGU MZIMA MAANA HAWATAKIWI KABISA KTK JAMII. SIYO SIKU ITAFIKA IMESHAFIKA SASA NA TUNAJIPANGA. TUTAWAKAMATA TU KAMA GAIDI WENU
ReplyDeleteHIVI MBONA UPANDE WA SEREKALI YA ZANZIBAR HAMNA KIONGOZI ALIYESEMA HATA POLE AU KUTOWA MAONI YAKE KUHUSU HUU UNYAMA WA MAGAIDI WA KIISLAMU
ReplyDeletegaidi ni mama yako acheni upumbavu wakuwaita waislam wapumbavu unauwakika gani kwamba ni waislam waliomuua je mnajua kuna migogoro mingapi makanisani au kama katembea na mke wa mtu.ndomana hata kiongozi wao kajiuzulu jiulizeni acheni ukenge
ReplyDelete