VIDEO ZA WALICHOFANYA JAY Z, USHER, LUDA NA WENGINE KWENYE PARTY YA MIAKA 20 YA SO SO DEF
Posted on
Feb 26, 2013
|
1 Comment
So so Def ni lebo mojawapo
ya zilizowahi kupata heshima kwenye muziki duniani, ikiwa chini ya
umiliki wa producer Jermain Dupri weekend iliyopita ilifanya bonge la
party ya kutimiza miaka 20 ambapo mastaa kibao walizishika mic kwenye
stage… akiwemo Jay Z, Usher, Luda, Lil Jon na wengine….. unaweza
kutazama hizi video hapa chini.
Hey your web-site url: http://www.blogger.
ReplyDeletecom/comment.g?blogID=7862533879496014640&postID=1870506599103379626 appears to
be redirecting to a completely different web-site when
I click the home-page button. You might want to have this looked at.
Feel free to visit my webpage ... help