UCHAGUZI KENYA; UHURU KENYATTA NA RAILA ODINGA BADO MISHE MISHE.
Posted on
Mar 5, 2013
|
No Comments
Uhuru Kenyataa wa TNA amepata kura 1,833,687 ni 50.11% ya kura zilizohesabiwa
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Kenya yanaonyesha kuwa Uhuru Kenyatta, mtoto wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta anaongoza, huku akifuatiwa kwa karibu na aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Raila Odinga.
Kama alivyo Uhuru, Raila pia ni mtoto wa mmoja wa
waasisi wa taifa la Kenya, ambaye alikuwa Makamu wa Mzee Kenyatta,
Jaramong Oginga Odinga.