JOSEPH SENGA MPIGA PICHA BORA MWAKA 2012.
Posted on
Apr 6, 2013
|
No Comments
Wandishi bora 2012 wapewa tunzo
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio
akimkabidhi tuzo ya Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga kutoka Kampuni
ya Free Media.
Picha iliyomuwezesha Senga
kushinda ni ile iliyomuonesha Polisi
akimpiga Mwandishi wa Habari, Marehemu Daudi Mwangosi wa Kituo cha
Televisheni cha Channel Ten.
Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi tuzo ya mwandishi bora wa habari za watoto, Shadrack Sagati kutoka TSN.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga (kulia) akiwa na mpiga picha wa magazeti
ya Uhuru na Mazalendo, Emmanuel Ndege ambaye aliingia katika fainali za
kinyang'anyiro cha kumtafuta mpiga picha bora.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi
mfano wa hundi mshindi wa jumla wa tuzo za EJAT 2012, Lucas Liganga.
Picha ya pamoja.