photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BREAKING NEWZZZ: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI RUFAA DHIDI YA ZOMBE

BREAKING NEWZZZ: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI RUFAA DHIDI YA ZOMBE

Posted on May 8, 2013 | No Comments






MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo imefuta rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna MsaidAizi, Abdallah Zombe, baada ya mahakama kujiridhisha kuwa hati ya kukatia rufaa hiyo ilikuwa na mapungufu


Toa Maoni Yako Kwa Uhuru