CHEKI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA KINACHOENDELEA HIVI SASA LEADERS CLUB
Posted on
May 29, 2013
|
No Comments
Kinachoendelea hivi sasa katika viwanja vya Leaders Club sasa ni kuwa karibuni wasanii wote pamoja wakishirikiana na familia ya Marehemu Albert Mangwair wamekutana kwaajili ya kupanga mikakati ya mazishi pamoja na kukusanya Rambi Rambi kwaajili ya msiba huo.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha baadhi ya wasanii na watu mbalimbali wakiwa katika viwanja hivyo.