HII NDIYO HISTORIA AMBAYO CHELSEA IMEWEKA KATIKA SOKA
Posted on
May 16, 2013
|
No Comments
Goli la dakika za nyongeza kutoka kwa Branislav Ivanovic limeisaidia Chelsea kuwa klabu ya kwanza ya Uingereza, kushinda mataji yote matatu makubwa ya UEFA, baada ya kuishinda Benfica kwa magoli 2-1 katika fainali za Ligi ya Europa mjini Amsterdam usiku wa kuamkia leo.
Branislav Ivanovic akishangilia baada ya kuitandika bao Benfica.