MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 KUSAHIHISHWA UPYA.
Posted on
May 5, 2013
|
No Comments
Taarifa kutoka bungeni zinasema waziri Lukuvi ametangaza kurudiwa upya kusahihishwa kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka 2012,Hii imetokana na mapendekezo yaliyo tolewa na tume iliyoundwa kuchunguza tatizo la wanafunzi wengi kufeli mtihani huo, Pia wamesitisha kuanza kutumika kwa viwango vipya vya ufaulu.
serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo
serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo