MIAKA 5 YA NDOA UUME HAUSIMAMI, ATUMIA ULIMI TU KUMRIDHISHA MKEWE
Posted on
May 5, 2013
|
No Comments
Nina rafiki yangu ameolewa miaka 5 iliyopita.kabla ya
kuolewa alikuwa na mtoto mmoja,shida aliyonayo ni kwamba toka aingie kwenye
ndoa mume wake hasimamish kabisa.hivyo hutumia ulimi na kuuingiza kwenye uke
ili amridhishe mkewe.
Kipindi cha mwanzo mke alivyomuuliza kama anatatizo akadai
ni mawazo tu kwan akili yake asilimia kubwa inawaza amuandaliaje mkewe maisha.
Mke akaendelea kuvumilia sasa imefikia hatua kadai
kachoka.upande wa kiume hawamtaki wanadai hazai anajaza choo.hilo halimuumiz
sana ingawa anapenda kuzaa ila kubwa linalomshinda kuendelea na ndoa ni
kutopata haki yake ya msingi tendo la ndoa.
imefikia hatua mume kalidhika na hayo maisha hana dalili ya
kutafuta ufumbuzi kila akimshauri anapuuza tu.
Anahitaji msaada wenu wa kimawazo, afanyaje?..