PICHA INAYOHUZUNISHA SANA BAADA YA KUANGUKA KWA KIWANDA CHA NGUO NCHINI BANGLADESH
Posted on
May 9, 2013
|
No Comments
waathirika wawili wakiwa kwenye kifusi baada ya kuanguka kwa jengo la kiwanda cha nguo Savar, Bangladesh, Aprili 25, 2013. Picha na Taslima Akhter.Picha nyingi poweful zilipigwa baada ya kuanguka vibaya kiwanda hicho nchini Bangladesh, lakini picha hii imeibuka kama picha inayoumiza sana na kusikitisha na kusababisha huzuni nchi nzima, ukiiangalia tu picha hii moja.