photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > FILAMU MPYA YA AUNTY EZEKIEL YAPIGWA STOP KUUZWA KWA KUKIUKA MAADILI

FILAMU MPYA YA AUNTY EZEKIEL YAPIGWA STOP KUUZWA KWA KUKIUKA MAADILI

Posted on Jun 29, 2013 | No Comments


Kwa mujibu wa JamiiPress, filamu yake iitwayo Scola imezuiwa kuingia sokoni kutokana na kuwa na sehemu zinazodaiwa kuwa kinyuma na maadili ya Kitanzania.
Imedaiwa kuwa filamu hiyo imegundulika kuwa na matatizo hayo baada ya muigizaji huyo kuipeleka kwenye bodi hiyo ili ikaguliwe kabla ya kuingia sokoni na sasa amepewa kazi ya kuondoa vipande hivyo ili ihakikiwe tena kwa mara nyingine.
TOA MAONI YAKO

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru