photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KIMENUKA ARUSHAA...MACHAFUKO ZAIDI YAENDELEA KUSHUHUDIWAA.

KIMENUKA ARUSHAA...MACHAFUKO ZAIDI YAENDELEA KUSHUHUDIWAA.

Posted on Jun 18, 2013 | No Comments

Kwa taarifa zilizoifikia JamiiPRess muda sio mrefuu inasema mabomu yanaendelea kurindima katika viwanja vya soweto baada ya watu waliojikusanya kwenda kwenye maombolezo wa wafiwa wa mabomu juzii kuziiwa na jeshi la polisi kukaidi. Polisi walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu.



Toa Maoni Yako Kwa Uhuru