MLIPUKO MWINGINE WATOKEA LEO JIJINI ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA...WATU WAMERIPOTIWA KUPOTEZA MAISHA
Posted on
Jun 15, 2013
|
No Comments

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!
- Bomu lililolipuka linadaiwa kuejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.
- Mpaka sasa waliokufa inadaiwa ni watatu.