photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > UFUPI WA KAPTULA YA BINTI WA OBAMA WAZUA GUMZO

UFUPI WA KAPTULA YA BINTI WA OBAMA WAZUA GUMZO

Posted on Jun 27, 2013 | 1 Comment

sasha-obama
 
Binti mdogo wa rais Barack Obama, Sasha, alikua jijini New York hivi karibuni akifanya shopping huku amevaa kikaptura kifupi (short shorts, al maarufu kama daisy dukes.) Mapaparazzi walimpiga picha binti huyo akiwa mitaani na raha zake na kuuliza mitandaoni kama ni sahihi kwa binti wa miaka 12, kuvaa kaptura fupi hivyo. Kama kawaida za mitandaoni, kilichozuka ni ubishi mkali kati ya wanaoona si sahihi, hasa kwa binti ya rais, na wale wanaoona ni poa tu. Wewe upo kwenye camp ipi? Unaweza ruhusu binti yako avae kaptura kama hii?

malia-obama-short-shorts-0

malia-obama-short-shorts
malia-obama-short-shorts-1

Comments:1

  1. mhh.. huyu naye anakuja??!!!!! ..mbona kesi

    ReplyDelete