Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu
Posted on
Jun 12, 2012
|
1 Comment
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.
story from jamii forum.

Una matatizo yako binafsi,hiyo nguo inashida gani wewe? tamaa za ngono zinakusumbua.
ReplyDelete