photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Nape akagua maendeleo ujenzi wa hospitali ya rufani Singida.

Nape akagua maendeleo ujenzi wa hospitali ya rufani Singida.

Posted on Jun 1, 2012 | No Comments


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Singida baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja
Katibu tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (wapili kulia) akionyesha ramani ya jengo la utawala la hospitali ya rufani ya Singida ambayo ujenzi unaendelea. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida, Jerome Alute
Nape na ujumbe wake wakikagua majengo ya hospitali hiyo
Nape akionyeshwa ndani ya moja ya majengo ya Hospitali hiyo
KATIBU Tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (kushoto) akimpa maelezo Nape kuhusu ujenzi wa hospitali hiyo ulipofika. Kulia ni Alute
Nape akimaliza kukagua majnego ya hospitali hiyo

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru