NDOA NDOANO..
Posted on
Jun 12, 2012
|
No Comments
Naachika kila siku
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..Tuandikie story yako apa nasi tutashirikiana na jamii, rchugga@gmail.com
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
