photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> YANGA yamsajili Frank Domayo kwa Mil. 20.

YANGA yamsajili Frank Domayo kwa Mil. 20.

Posted on Jun 12, 2012 | No Comments

Habari rasmi kutoka kwenye kamati ya usajili ya klabu ya Yanga ni kwamba timu hiyo leo imekamilisha usajili wa kinda la timu ya taifa ya Tanzania aliyeng'ara kwenye mchezo wa jumapili iliyopita dhidi ya Gambia Frank Domayo.
Domayo ambaye alikuwa akiichezea JKT Ruvu msimu uliopita, amesaini mkataba wa miaka 3 kuitumikia Yanga, huku akilipwa shilingi millioni 20 kama ada ya usajili na atakuwa akilipwa shilingi millioni moja kama msharaha kwa miaka 3 ijayo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru