Napenda sana nyimbo za Rozi muhando ; Lakini kwa wimbo huu inaonyesha kalewa sifa . Maneno yaliyomo kwenye wimbo huu; inaonyesha idara za kusimamia wasanii azitekelezi kazi zao.