Dj, ManGi1 WITH ROSE MHANDO..
Posted on
Jul 7, 2012
|
1 Comment
Achia: Rose Muhando's 'New Song', unahatarisha amani ya nchi
Napenda sana nyimbo za Rozi muhando ; Lakini kwa wimbo huu inaonyesha kalewa sifa . Maneno yaliyomo kwenye wimbo huu; inaonyesha idara za kusimamia wasanii azitekelezi kazi zao.

Mbona sioni chochote kibaya kwenye huu wimbo bana! labda ufunguke zaidi tujue Rose mhando kaharibu vipi kwenye huu wimbo!
ReplyDelete