photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAREMBO WA MISS VYUO VIKUU TANZANIA WATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, KUJIFUNZA SHUGHULI ZA BUNGE

WAREMBO WA MISS VYUO VIKUU TANZANIA WATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, KUJIFUNZA SHUGHULI ZA BUNGE

Posted on Jul 3, 2012 | 1 Comment

Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la Miss Vyuo Vikuu 2012, siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha Club, wakipozi kwa picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao walipofika kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma Leo, Julai 03, 2012. 

Comments:1

  1. si kweli ni mamiss mbona wamevaa ?hakuna magauni au suti, mbona inaonekana kama wamepewa msaada wavae kwa muda, halafu baadaye wakavae vitopu

    ReplyDelete