ZOEZI LA SENSA KATIKA PICHA VISIWANI ZANZIBAR
Posted on
Aug 28, 2012
|
1 Comment
Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi
Karani wa Sensa Wilaya ya Kati Unguja Hassan Mussa Suleiman akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.
Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Zainab Maulid Haji akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi
Karani wa Sensa Wilaya ya Kati Unguja Mwanaisha Ufuzo akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.
Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar
nasikia kuna watu wamesusia sensa jee hizi picha zao hazijapatikana.
ReplyDelete