ARUSHA TECHNICAL COLLEGE YASAINI USHIRIKIANO (MOU) NA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KARUME (KIST)
Posted on
Jul 14, 2012
|
No Comments
Mweyekiti wa Baraza la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume (KIST), Mh. Mohammed Fakih Mohammed (katika), akisema neno mara baada ya kusainiwa ushirikano wa KIST na Chuo cha Ufundi Arusha |
Mweyekiti wa Baraza la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume (KIST), Mh. Mohammed Fakih Mohammed (wa tatu kulia) akipokea maelezo mafupi kuhusu mtambo wa kufua umeme uliotengenezwa na chuo cha Ufundi Arusha
Akitembelea maeneo ya chuo hicho kujionea mazingira |