photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BREAKING NEWS : FUJO MABOMU YATAWALA ZANZIBAR

BREAKING NEWS : FUJO MABOMU YATAWALA ZANZIBAR

Posted on Jul 20, 2012 | No Comments

Hali ni tete Mjini Unguja baada ya kundi la Uamsho kuamua kuwaombea Dua waliozama na Meli, lakini habari toka kwa mtu ambae yupo huko anasema askari wameenda na kuwatawanya kwa mabomu, habari zaidi tutawajulisha muda si mrefu.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru