photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TIMU YA YANGA YAIFUNGA TIMU YA APR YA RWANDA 2-0 UWANJA WA TAIFA

TIMU YA YANGA YAIFUNGA TIMU YA APR YA RWANDA 2-0 UWANJA WA TAIFA

Posted on Jul 20, 2012 | No Comments

Mchezaji wa timu ya APR ya Rwanda Selemani Ndikumana akijniandaa kupiga mpira mbele ya beki wa timu ya Yanga Kevin Yondan wakati wa mchezo wa kuwania kombe la Kagame unaofanyika jioni hii kwenye uwanja wa Taifa, Hivi sasa mpira umekwisha na timu ya Yanga imeifunga timu ya APR magoli 2-0 magoli yote yamefungwa na mchezaji Said Bahanuz katika kipindi cha kwanza na cha pili.
Kikosi cha timu ya Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa.
Kikosi cha timu ya APR kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru