photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > CHEKECHA; IVI MTU UKIWA NA GARI NI TAJIRI?..

CHEKECHA; IVI MTU UKIWA NA GARI NI TAJIRI?..

Posted on Jul 17, 2012 | No Comments


Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa riba fift pasent unaonekana wa maana...what's so special with gari..dada zetu ndo usiseme..umwambie una kiwanja masak
Na mwingine ana corola limited;utaonekana huna ishu...ni mtazamo wangu wa muda mrefu..

Tafakari!!..

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru