photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KAGAME CUP; YANGA VS WAU SALAAM LIVE...

KAGAME CUP; YANGA VS WAU SALAAM LIVE...

Posted on Jul 17, 2012 | No Comments

Mpira uwanja wa Taifa ni mapumziko na Yanga wanaongoza 6-0 dhidi ya Wau Salaam yaliyofungwa na Said Bahanunzi dkk 12, 17, Hamis Kiiza dkk 18, 25, 30, 35

47'- Young Africans inafanya mabadiliko, anaingia Juma Seif Kijiko anatoka Kelvin Yondan

Dakika ya 52 Young Africans inafanya mabadiliko, anaingia Rashid Gumbo anatoka Nizar Khalfani

Dakika ya 60' Idrisa Abdallah anaingia kuchukua nafasi ya Stefano Mwasika

Dakika ya 76' GOAL: Nizar Khalifan anaipatia yanga bao la saba

90 - Zimeongezwa Dakika 5

90 + 3: GOAL: Wau Salaam wanapata bao la kufutia machozi. 7-1

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru