photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDOA NDOANO; USIFANYE MAISHA YA MAPENZI KAMA MARATHONI

NDOA NDOANO; USIFANYE MAISHA YA MAPENZI KAMA MARATHONI

Posted on Jul 14, 2012 | No Comments

Hebu Jamani kwenye Mapenzi hatushindanii medali na wala hatushindani na mtu!..Mara nyingi ni wewe na moyo wako tu..na mwisho wa siku ukishinda ni wewe na ukishindwa ni wewe pia..

Sasa inaku
waje tunaishi kwenye mahusiano yetu aidha NDOA au Mapenzi ya kawaida kwa kukimbizana na Majirani zetu. Yaan ukimuona jirani kamfanyia hivi mwenzie na wewe mbio kufanya as if uko kwenye mashindano..Ukiona mwenzio kafanyiwa vile roho inakuuma as if usipofanyiwa utakosa Medali??

Jichagulie SPEED ambayo unadhani itakufaa kwenye Mbio za haya Maisha na hakikisha Unapoanza Mbio zako uko kwenye Right lane and with right studs..otherwise ukiigiiza kufuata mbio za Akina Marion Jones na Usain Bolt utapasuka kifua..k
wa sbb wao wamezaliwa na speed na kasi hzo..kinyume chake na wao wakifuata speed yako ya Kobe wataumia magoti!!!!..

Shirikiana nasi story yako hapa, tuma apa rchugga@gmail.com

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru