NEW RELEASE TOKA KWA ORDINALLY WA JAMBO SQUAD
Posted on
Jul 10, 2012
|
No Comments
Hii ni Mpya toka kwa mmoja wa vijana wa kundi zima la Jambo Squad wanaotambulika zaidi kwa hits zao kama Wakusindikiza,Temana na mimi,Ngastuka,Mamong'oo na disco malapaa,huyu hapa ni Ordinally anakwambia Jogoo kichaa,tunaanza kumkaribisha baba la baba John B wa www.grandrecs.com nyumbani na kuwaweka fans wetu tayari kwaajili ya kitu chetu kipya cha pamoja tukiwa na mtu mzima kiroboto Sir Nature pale kati kwenye chorus au siyo,hatuli mandazi bado tunakamua nyama kama kawa,ni sedere bidenge haina worry,tenyaa tenyaa www.hulkshare.com/dl/17jlcmm1tir0
Download ngoma hii hapa; www.hulkshare.com/dl/17jlcmm1tir0