photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > PICHA ZA AJALI JANA ILIYO TOKEA SUMBAWANGA KUELEKEA MPANDA AMBAPOWATU SITA WALIFARIKI HAPO HAPO

PICHA ZA AJALI JANA ILIYO TOKEA SUMBAWANGA KUELEKEA MPANDA AMBAPOWATU SITA WALIFARIKI HAPO HAPO

Posted on Jul 17, 2012 | No Comments

 Mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya lori la mizigo iliyotokea jana katika kijiji cha Ntendo, Christina Mbaule (33) akiwa na mtoto wake Subesto Sinkala (1) wakiwa wamelazwa katika wodi namba sita kwenye hospitali ya mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.

Baadhi ya wananchi wakiangalia gari aina ya lori lenye namba za usajili T 779 BTV lililotumbukia kwenye mto Lukangao jana baada ya kushindwa kupanda mlima na kusababisha vifo vya watu sita hapo hapo na wengine 20 kujeruhiwa vibaya

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru