PICHA ZA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR.
Posted on
Jul 9, 2012
|
No Comments
MWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa kwa ajili ya mapumziko hadi jioni saa 11.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Hamad Masoud, Nassor Mazrui na Ali Mzee, wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa baraza baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi kwa ajili ya mapumziko.