photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> RAIS JAKAYA KIKWETE AMKABIDHI MAMA MARIA NYERERE TUZO YA JUU YA HESHIMA YA TAIFA LA BURUNDI ALIYOTUNUKIWA BABA WA TAIFA WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA BURUNDI

RAIS JAKAYA KIKWETE AMKABIDHI MAMA MARIA NYERERE TUZO YA JUU YA HESHIMA YA TAIFA LA BURUNDI ALIYOTUNUKIWA BABA WA TAIFA WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA BURUNDI

Posted on Jul 9, 2012 | No Comments

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mama Maria Nyerere Tuzo ya Juu ya Heshima ya Taifa la Burundi aliyotunukiwa Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika mjini Bujumbura wiki iliyopita.Mwalimu Nyerere alitunukiwa tuzo hiyo kwa mchango wake wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Burundi ambapo alikuwa mshauri wa karibu wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa nchi hiyo Prince Louis Rwagasore. Rais Kikwete alimkabidhi Mama Maria tuzo hiyo leo asubuhi ikulu jijini Dar es Salaam.Picha Freddy Maro-IKULU

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru