RAIS WA LIBERIA KUZURU TANZANIA KWA SIKU TATU KUANZIA KESHO
Posted on
Jul 16, 2012
|
No Comments
RAIS wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf (Pichani), anatarija kuwa na ziara ya siku tatu hapa nchini. Rais huyo atawasili kesho Julai 17, 2012 saa 8:00 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam. Akiwa nchini, atakuwa na shughuli mbalimbali kwa siku tatu za ziara yake
