photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> TIMU YA TAIFA YA VIJANA YA RWANDA YAIFUNGA TANZANIA 2-1

TIMU YA TAIFA YA VIJANA YA RWANDA YAIFUNGA TANZANIA 2-1

Posted on Jul 16, 2012 | No Comments

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania 'Ngorongoro Heroes', Ramadhan Singano akiwatoka mabeki wa timu ya taifa ya Vijana ya Rwanda katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Kiungo wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ Omega Seme (kulia) akichuana na mshambuliaji wa Rwanda, Ruhinda Saifi
Kiungo wa  timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ Omega Seme (kulia) akichuana na mshambuliaji wa Rwanda, Ruhinda Saifi katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Ngorongoro Heroes inajiandaa na mashindano ya  Rwanda ilishinda 2-1.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru