photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA VIKAO VYA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA VIKAO VYA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Posted on Jul 18, 2012 | No Comments


  Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Omar Ali Shehe, akichangia bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, wakati wa Kikao cha asubuhi kikiendelera na michango ya wajumbe.   
 
  Wakuu wa Idara za Sheria wakifuatilia mijadala ya michango iliokuwa ikitolewa na Wajumbe wa baraza wakati wakichangia Wizara hiyo katika kikao cha asubuhi kikiendelea. 
 
 Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Zanzibar Mhe.Othman Masoud, kushoto akizungumza na Mhe Ali Mzee Ali, wakati wa mapumziko wa kikao cha asubuhi kuahirishwa kwa mapumziko. 
 Mwenyekiti wa Kamati ya Mifugo, UtaliiUwezeshaji na Habari Asha Bakari, akizungumza na Maofisa wa Baraza la Habari Tanzania tawi la Zanzibar kushoto Shiffa Said na Suleiman Seif walipofika katika viwanja vya baraza la Wawakilishi kuonana na Mwenyekiti huyo. 

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru