TWANGA PEPETA KUWACHEZESHA KISIGINO MISS SINZA 2012
Posted on
Jul 9, 2012
|
No Comments
Warembo wa Redds Miss Sinza wakiwa mazoezini kwenye ukumbi wa Mawela social (Ten Star Lounge) uliopo karibu na hotel ya Vatican chini ya mwalimu wa, Mwajabu Juma ambaye anashikiria taji la Top Model . Warembo hao watapanda jukwaani Julai 13 kutafuta tiketi ya kuiwakilisha Sinza katika mashindano ya Kanda ya Kinondoni na baadaye Miss Tanzania.