Umasikini mbaya kuliko wote ni Umasikini wa mawazo. Duniani kuna kujitegemea na kutegemea. Unaweza kutegemea lakini kutegemea kubaya kuliko kote ni kutegemea mtu mwingine kwa mawazo. Ni kwa ovyo sana na kunakunyima utu wako'-Mwi. Nyerere, Mei Mosi 1995 mjini Mbeya.