WAZANZIBARI WALIOKIMBIA NA KUOMBA HIFADHI YA UKIMBIZI NCHINI SOMALIA WAFIKISHWA NYUMBANI KWAO KISIWANI PEMBA.
Posted on
Jul 10, 2012
|
No Comments
Bodi kitia akiwasili Mkoani Pemba
Mmoja wa Viongozi wa UNHCR akiwa amembeba mtoto wa mmoja wa Wananchi waliokuwa Nchini Somali Wakimbizi walipowasili bandari ya Mkoani kwa Boti ya Sea Bus.
Mkuu wa Mkua wa Kusini Pemba Juma Kassin Tindwa akisalimiana na baadhi ya Wananchi waliokuwa Nchini Somali Wakimbizi walipowasili bandari ya Mkoani pembe kwa Boti ya Sea Bus.
Rashid Abdalla Said, akitowa shukrani kwa Uongozi wa UNHCR NA Serekali ya Tanzania kwa Ushirikiano na Serekali ya Somali na Serekali ya Zanzibar kwa kuwafikisha Nyumbani kwa usalama akiwa katika bandari ya Mkoani Pemba baada ya kuwasili Kisiwani Pemba hivi karibuni.