BANGI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 5 YATEKETEZWA NA MAHAKAMA MKOANI SINGIDA.
Posted on
Jul 10, 2012
|
No Comments
Matukio mbalimbali ya uchomaji wa Bangi yenye kilo zaidi ya 350 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 5.2 iliyokuwa ikisafirishwa na Pascal Dogii (31) mkazi wa Nzega mjini mkoani Tabora kuipeleka jijini Dar-es-salaam, ikiteketezwa kwa moto nje ya mahakama ya hakimu mkazi mjini Singida.Pascal hivi sasa anatumikia kifungo cha miaka kumi jela baada ya kukiri kosa la kumiliki madawa ya kulevya aina ya Bangi.Picha na Nathaniel Limu